Inter Press Service News Agency
Friday, May 24, 2013   10:41 GMT    
  Subscribe !
 

Enter your email and receive TerraViva Africa, our free weekly journal

   Homepage
   World Service
   East Africa
   Southern Africa
   West Africa
   Central Africa
 
   Environment
   Health-HIV/AIDS
   Education
   Rights
   Politics
   Economics
   and Finance
   Development
   Energy
   Population
   Culture
 
   Radio Service
 
   Français
 
   About IPS
 
   ENGLISH
   ESPAÑOL
   FRANÇAIS
   ARABIC
   ČESKY
   DEUTSCH
   ITALIANO
   JAPANESE
   MAGYAR
   NEDERLANDS
   POLSKI
   PORTUGUÊS
   SRPSKI
   SUOMI
   SVENSKA
   SWAHILI
   TÜRKÇE
PrintSend to a friend
Readers Opinions

UAE:
Wizara ya Mambo ya Nje Yalaani Milipuko ya Kabul
Kwa Wahariri: Taarifa ifuatayo imetolewa na Shirika la Habari la Falme za Kiarabu (WAM)

ABU DHABI, Aprili 18 (WAM) - Muungano wa Jumuiya ya Kiarabu (UAE) ulilaani kwa nguvu zake zote mfululizo wa milipuko ya mabomu ya kigaidi ambayo yalilipuka katika eneo kuu la kidiplomasia mjini Kabul na miji mingine mitatu ya Afghanistan na kuua watu 47 na kujeruhi watu wengine kadhaa.

"UAE inaelezea mshikamano wake na Jamhuri ya Kiislam ya Afghanistan dhidi ya msimamo mkali, ghasia na ugaidi na kutoa wito wa haja ya kulinda usalama wa kikanda na utulivu," Katibu Mkuu Msaidizi wa Wizara ya Mambo ya Nje Jum'a Mubarak Junaibi alisema.

"UAE kwa nguvu zake zote inakemea vitendo hivi vya kihalifu ambavyo vililenga bunge la Afghanistan na maeneo ya kidiplomasia na majirani na mikoa mingine ya Afghanistan," alisema afisa mwandamizi, akiongeza kuwa "milipuko hii inataka kupanda mbegu za mgawanyiko na kashfa miongoni mwa watu wa Afghanistan na kuharibu utulivu na usalama wa Afghanistan."

Alitoa salaam zake za rambirambi za dhati kwa wanafamilia wa waathirika wa uhalifu huo na kuwatakia waliojeruhiwa kupona haraka. (WAM) (END/2012)

 

 
English Version
Versión en español
Version em português
Japanese Version
 Latest News in Swahilli
News in RSS
UAE: Balozi Awakilisha Hati Zake kwa Rais wa Tanzania
MASHARIKI YA KATI: Gazeti la UAE Lazungumzia Ziara ya Obama
UAE: Wanawake Wengi zaidi Watarajiwa Kuanzisha Biashara Mwaka Huu
UAE: Msaada Kwenda Pakistan ni wa Kupongezwa, Linasema Gazeti la Nchini Humu
UAE: Wanawake Wapata Mafanikio Katika Sekta ya Biashara
UAE: Shirika la Ndege la Etihad Laongeza Safari za Pakistan
UAE: Ujumbe wa Kitaifa Washiriki katika Jukwaa la Utalii Uarabuni Nchini Misri
UAE: Wizara ya Masuala ya Biashara za Nje Yajadili Mahusiano na Ujumbe wa Colombia
UAE: Wizara ya Masuala ya Biashara za Nje Yajadili Mahusiano na Ujumbe wa Colombia
UAE: RCA Yasambaza Misaada ya Kiutu kwa Wakimbizi wa Syria na Jordan
More >>
  Dernières Nouvelles
News in RSS
OPINION: Mettre en lumière les droits de reproduction des femmes africaines
ECONOMIE: L’aide accordée à l’Afrique du Sud tarit-elle?
ZIMBABWE: Des milices du parti au pouvoir propagent la peur de voter
GUINEE: Une ONG recherche l’appui pour promouvoir sa pompe à eau
ETHIOPIE: Le pays joue le bon voisin
A lire également >>
 News in Swahili
News in RSS
Water Debt and Leaks Plague City Residents
New Effort Targets the Leading Killers of Children
Growing Peas and Greens to Maximise Water Usage
Kariba Dispossessed Still Waiting for Promised Better Life
SA’s Africa Day Awareness Lagging Behind
Can South Africa Help Nigeria to Industrialise?
Zimbabwe’s Ruling Party Militias Spread Fear of Voting
It Takes a Village to Educate a Girl
Equality for women in Africa still a work in progress
How to Save a Fish … a Lake and a People
More >>