Inter Press Service News Agency
Monday, May 20, 2013   07:57 GMT    
  Subscribe !
 

Enter your email and receive TerraViva Africa, our free weekly journal

   Homepage
   World Service
   East Africa
   Southern Africa
   West Africa
   Central Africa
 
   Environment
   Health-HIV/AIDS
   Education
   Rights
   Politics
   Economics
   and Finance
   Development
   Energy
   Population
   Culture
 
   Radio Service
 
   Français
 
   About IPS
 
   ENGLISH
   ESPAÑOL
   FRANÇAIS
   ARABIC
   ČESKY
   DEUTSCH
   ITALIANO
   JAPANESE
   MAGYAR
   NEDERLANDS
   POLSKI
   PORTUGUÊS
   SRPSKI
   SUOMI
   SVENSKA
   SWAHILI
   TÜRKÇE
PrintSend to a friend
Readers Opinions

UAE:
Yasaini Makubaliano na Ureno Juu ya Ushirikiano katika Nishati Mbadala, Elimu ya Juu
Kwa Wahariri: Taarifa ifuatayo imetolewa na Shirika la Habari la Falme za Kiarabu (WAM)

LISBON, Aprili 28 (WAM) - Waziri wa Mambo ya Nje wa Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) Sheikh Abdullah bin Zayed Al Nahyan alikutana jana na mwenzake wa Ureno Paulo Portas na kujadili mahusiano baina ya nchi hizo mbili na jinsi ya kuongeza ushirikiano katika nyanja zote.

Sheikh Abdullah na Portas walisaini aina mbili za makubaliano ya kushirikiana kwa nchi hizo mbili katika nyanja ya sekta ya nishati mbadala na elimu ya juu na utafiti wa kisayansi.

Mkutano wao ulihudhuriwa pia na Sheikh Abdullah Mohammed Al Hamed, Mkurugenzi wa Masuala ya Ulaya katika Wizara ya Mambo ya Kigeni, Mohammed Mahmoud Al Khawaja, Mshauri katika wizara hiyo, Saleh Al Suwaidi, Msaidizi wa Waziri wa Mambo ya Nje anayeshughulikia Masuala ya Uchumi, na Saqr Nasser Ahmed Al Raisi, Balozi wa UAE nchini Ureno. (END/2012)

 

 
English Version
Versión en español
Version em português
Japanese Version
 Latest News in Swahilli
News in RSS
UAE: Balozi Awakilisha Hati Zake kwa Rais wa Tanzania
MASHARIKI YA KATI: Gazeti la UAE Lazungumzia Ziara ya Obama
UAE: Wanawake Wengi zaidi Watarajiwa Kuanzisha Biashara Mwaka Huu
UAE: Msaada Kwenda Pakistan ni wa Kupongezwa, Linasema Gazeti la Nchini Humu
UAE: Wanawake Wapata Mafanikio Katika Sekta ya Biashara
UAE: Shirika la Ndege la Etihad Laongeza Safari za Pakistan
UAE: Ujumbe wa Kitaifa Washiriki katika Jukwaa la Utalii Uarabuni Nchini Misri
UAE: Wizara ya Masuala ya Biashara za Nje Yajadili Mahusiano na Ujumbe wa Colombia
UAE: Wizara ya Masuala ya Biashara za Nje Yajadili Mahusiano na Ujumbe wa Colombia
UAE: RCA Yasambaza Misaada ya Kiutu kwa Wakimbizi wa Syria na Jordan
More >>
  Dernières Nouvelles
News in RSS
KENYA: Des femmes pour briser le plafond de verre dans le gouvernement
RD CONGO: La réintégration des déserteurs du M23 dans l’armée divise l’opinion
ETATS-UNIS: Des réformes pourraient réduire énormément l’immigration africaine
SOMALIE: Accorder aux extrémistes une seconde chance
NIGER: La scolarisation des filles confrontée aux croyances socioculturelles
A lire également >>
 News in Swahili
News in RSS
OP-ED: Put a Spotlight on African Women’s Reproductive Rights
Civil Society Under Attack Around the World
Pressure Mounting on U.S. over Congo Violence
Is Aid to South Africa Drying Up?
Ethiopia Playing at Being Good Neighbours
With Billions of Euros Pledged, Mali Risks Aid Overflow
Fears of Rebel Infiltration of DR Congo Army
In Vietnam, Rhino Horns Worth Their Weight in Gold
Protecting Niger’s Desert Salt Pans
Israeli Students Vow to Eradicate Malnutrition
More >>