Inter Press Service News Agency
Thursday, May 23, 2013   22:26 GMT    
  Subscribe !
 

Enter your email and receive TerraViva Africa, our free weekly journal

   Homepage
   World Service
   East Africa
   Southern Africa
   West Africa
   Central Africa
 
   Environment
   Health-HIV/AIDS
   Education
   Rights
   Politics
   Economics
   and Finance
   Development
   Energy
   Population
   Culture
 
   Radio Service
 
   Français
 
   About IPS
 
   ENGLISH
   ESPAÑOL
   FRANÇAIS
   ARABIC
   ČESKY
   DEUTSCH
   ITALIANO
   JAPANESE
   MAGYAR
   NEDERLANDS
   POLSKI
   PORTUGUÊS
   SRPSKI
   SUOMI
   SVENSKA
   SWAHILI
   TÜRKÇE
PrintSend to a friend
Readers Opinions

UAE:
MOI Yazindua Kampeni ya Kukabiliana na Wahamiaji Haramu
Kwa Wahariri: Taarifa ifuatayo imetolewa na Shirika la Habari la Falme za Kiarabu (WAM)

ABU DHABI, Julai 23 (WAM) - Kampeni ya nchi nzima ya kujenga uelewa dhidi ya wahamiaji haramu katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) ilianza jana katika mji mkuu kwa kuwa na kaulimbiu 'Hapana Kwa Wakiukaji wa Sheria'.

Kampeni hiyo ina lengo la kuhamasisha kila raia na mkazi halali nchini humo kukabiliana na hali ya kujipenyeza kwa wingi kwa wageni katika UAE kwa kusaidia mamlaka kuwafuatilia.

Kurugenzi ya kufuatilia wahamiaji haramu na masuala ya wageni imeanzishwa katika Wizara ya Mambo ya Ndani ambayo itatekeleza kampeni ya kuelimisha watu kuhusu umuhimu wa kukabiliana na kuingia kwa wahamiaji haramu nchini.

Kampeni inaanzishwa kwa maelekezo ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Ndani Luteni Jenerali HH Sheikh Saif Bin Zayed Al Nahyan, alisema Katibu Mkuu Msaidizi wa Masuala ya Uraia, Ukaazi na Bandari Meja Jenerali Nasser Bin Al-Awadhi Al Minhali.

Kurugenzi ya Usalama wa Vyombo vya Habari katika Wizara itatekeleza kampeni kwa kushirikiana na vyombo vya habari vya magazeti na redio na televisheni vinavyofanya kazi nchini humo. (END/2012)

 

 
English Version
Versión en español
Version em português
Japanese Version
 Latest News in Swahilli
News in RSS
UAE: Balozi Awakilisha Hati Zake kwa Rais wa Tanzania
MASHARIKI YA KATI: Gazeti la UAE Lazungumzia Ziara ya Obama
UAE: Wanawake Wengi zaidi Watarajiwa Kuanzisha Biashara Mwaka Huu
UAE: Msaada Kwenda Pakistan ni wa Kupongezwa, Linasema Gazeti la Nchini Humu
UAE: Wanawake Wapata Mafanikio Katika Sekta ya Biashara
UAE: Shirika la Ndege la Etihad Laongeza Safari za Pakistan
UAE: Ujumbe wa Kitaifa Washiriki katika Jukwaa la Utalii Uarabuni Nchini Misri
UAE: Wizara ya Masuala ya Biashara za Nje Yajadili Mahusiano na Ujumbe wa Colombia
UAE: Wizara ya Masuala ya Biashara za Nje Yajadili Mahusiano na Ujumbe wa Colombia
UAE: RCA Yasambaza Misaada ya Kiutu kwa Wakimbizi wa Syria na Jordan
More >>
  Dernières Nouvelles
News in RSS
KENYA: Des femmes pour briser le plafond de verre dans le gouvernement
RD CONGO: La réintégration des déserteurs du M23 dans l’armée divise l’opinion
ETATS-UNIS: Des réformes pourraient réduire énormément l’immigration africaine
SOMALIE: Accorder aux extrémistes une seconde chance
NIGER: La scolarisation des filles confrontée aux croyances socioculturelles
A lire également >>
 News in Swahili
News in RSS
Water Debt and Leaks Plague City Residents
New Effort Targets the Leading Killers of Children
Growing Peas and Greens to Maximise Water Usage
Kariba Dispossessed Still Waiting for Promised Better Life
SA’s Africa Day Awareness Lagging Behind
Can South Africa Help Nigeria to Industrialise?
Zimbabwe’s Ruling Party Militias Spread Fear of Voting
It Takes a Village to Educate a Girl
Equality for women in Africa still a work in progress
How to Save a Fish … a Lake and a People
More >>